OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amevunja ukimya na kutoa ufafanuzi juu ya nafasi ya mwenyekiti wa bodi hiyo, Steven Mnguto ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Coastal Union.