WATU wanane wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi iliyoko Mjini Vwawa, baada ya kujeruhiwa katika ajali ya moto baada ya duka la kuhifadhi na kuuza vinywaji vya jumla na rejareja (depo) kuwaka ...
Mahali moja ambapo Weatherby angeweza kupeleka bunduki zake kuuza ni Duka la Silaha la Deercreek, lililopo barabara kuu ya, Kennesaw. James Raban, mwenye umri wa miaka 36, amefanya kazi katika ...
Katika duka la kutengeza saa la Bala Muhammad, mlio wa saa ulianikiza, ukitoa jazanda ya maisha ya baba huyu aliyejulikana kama Baba Bala. Duka hili liko katikati ya barabara kuu ya Kaduna ...
KATIKA jiji la Abuja, nchini Nigeria, kuna duka la kutengeneza saa la Bala Muhammad. Hapo kuna fundi saa maarufu anayejulikana kwa jina, Baba Bala. Katika zama hizo teknolojia haijakua, alikuwa ...
"Mpaka sasa, miili ya watu watano bado haijaondolewa eneo la tukio, lakini taratibu za uchimbaji wa makaburi zinaendelea," ameongeza Mkondo. Hali za majeruhi Diwani Mkondo amesema majeruhi sita ...
Picha Na Denis Sinkonde Mbozi. Watu wanane wamejeruhiwa katika ajali ya moto uliotokea katika duka la kuhifadhia na kuuzia vinywaji vya jumla na rejareja, baada ya duka hilo kuwaka moto unaodaiwa ...