Shirikisho la Utalii nchini Kenya KTF limepinga madai kwamba Kenya imekuwa ikipoteza watalii kwa taifa la Tanzania na badala yake ikasema kuwa hakuna ushindani wowote kati ya mataifa hayo jirani.
Tanzania inasema asilimia 18 ya ushuru huo wa VAT inahitajika kuiongezea serikali mapato. Utalii unachangia takribani asilimia 14 ya uchumi wa nchi hiyo. Lakini wadau wengi wa utalii wamemwambia ...